Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA KOZI YA KWANZA YA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NDC, JIJINI DAR ES SALAAM

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ACP Charles Omari Mkumbo, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Hassan Khatib Hassan, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) ACP Faustine Martin Kasike, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013. Picha na OMR

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Brig Gen Yacoub Hassan Mohamed, wakati wa sherehe za kufunga Kozi hiyo zilizofanyika katika Chuo hicho, Kunduchi jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013. Picha na OMR.
 Baadhi ya wahitimu wa Kozi hiyo, wakiwa na zawadi na Vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na mgeni rasmi.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akihutubia wakati akifunga rasmi Kozi ya kwanza ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), katika sherehe za maafali ya wahitimu wa mafunzo hayo zilizofanyika chuoni hapo Kunduchi, Jijini Dar es Salaam, leo Julai 20, 2013. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozwa na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi, Charles Makakala, wakati alipokuwa akitembelea katika Maktaba ya chuo hicho, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho, leo Julai 2013. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na baadhi ya viongozi, wakiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na wahitimu wa Kozi hiyo, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho, leo Julai 2013. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wakufunzi wa Kozi hiyo, Eginald Mihanjo, Reginald Mengi na Ibrahim Lipumba, baada ya kufunga rasmi Kozi ya Kwanza ya Chuo hicho, leo Julai 2013. Picha na OMR

This entry was posted in

Leave a Reply