Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA TAASISI ZA SERIKALI NA SEKTA BINAFSI ZA UWEKEZAJI MKOANI TABORA.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizindua Jarida maalum la Vivutio vya Uwekezaji vya mkoani Tabora, baada ya kufungua rasmi mkutano wa pamoja kati ya Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi, kuhusu uwekezaji mkoani Tabora, uliofanyika jijini Dar es Salaam, leo Julai 19, 2013. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa (wa pili kulia) ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta na Julieth Kairuki. Picha na OMR

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua mkutano wa pamoja kati ya Taasisi za Serikali na Sekta Binafsi, kuhusu uwekezaji mkoani Tabora, uliofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo. Picha na OMR

 Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kufungua mkutano huo.

 Julieth Kairuki, akizungumza.

  Sehemu ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais Dkt. Bilal, wakati akiwahutubia kufungua mkutano huo.
 Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na baadhi ya washiriki wa mkutano huo.

This entry was posted in

Leave a Reply