Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA RAIS WA BURUNDI NKURUNZINZA BAADA YA KUMALIZA MAPUMZIKO YAKE NCHINI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza, wakati akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo, Agosti 29, 2013 baada ya kumaliza mapumziko yake ya siku tatu nchini. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsindikiza Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza, wakati akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo, Agosti 29, 2013 baada ya kumaliza mapumziko yake ya siku tatu nchini. Picha na OMR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsindikiza Rais wa Burundi, Pierre Nkurunzinza, wakati akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo, Agosti 29, 2013 baada ya kumaliza mapumziko yake ya siku tatu nchini. Picha na OMR Rais wa Burundi, Piere Nkurunzinza, akiagana na baadhi ya maofisa wa Ofisi ya Makamu wa Rais, waliofika uwanjani hapo kumsindikiza leo Agosti 29, baada ya Rais huyo kumaliza mapumziko yake ya siku tatu nchini. Kushoto ni Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib Bilal. Picha na OMR
IMETAYARISHWA NA BASHIR NKOROMO

This entry was posted in

Leave a Reply