Google PlusRSS FeedEmail

WAJUMBE WA NEC KUTOKA ZANZIBAR NA DAR, WAENDA DODOMA LEO

 Wajumbe wa NEC ya CCM kutoka Zanzibar na mjini Dar es Salaam, wakiwa tayari kuondoka kwa basi la kukodi kutoka Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya safari ya kwenda mjini Dodoma kushiriki kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, kinachoanza kesho .
 Ofisa Utawala wa CCM, Mary Nchimbi, akiwaambia abiria kuwa tayari kwa safari
 Wajumbe wa NEC na baadhi ya maofisa wa Chama wakiwa kwenye gari
Wajumbe wa NEC na baadhi ya maofisa wa Chama wakiwa kwenye gasi leo asubuhi. PICHA NA BASHIR NKOROMO

This entry was posted in

Leave a Reply