Google PlusRSS FeedEmail

WAANDISHI WALIOSAFIRI KATIKA ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA WAREJEA DAR KWA FURAHA

 Mmiliki wa Blogu hii, Kamanda Richard Mwaikenda akipungia mkono kwa furaha wakati na wanahabari wenzie waliokuwa kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana  katika ziara ya mikoa ya Mtwara, Ruvuma, Mbeya na Njombe wakiondoka kwa treni la Tazara Makambako kwenda Dar es Salaam jana. Wamwasili leo asubuhi.
 Wanahabari wakiwapungia mikono wananchi walipokuwa wakiondoka kwa treni ya Tazara,Makambao kurejea Dar baada ya ziara ndefu ya Kmredi Kinana katika mikowa minne. ambapo wametumia siku 26 na Kinana kuhutubia mikutano zaidi ya 100.
Mmiliki wa Blogu ya Kamanda wa Matukio Blog, Kamanda Richard Mwaikenda (kushoto) akiwa na Ofisa wa CCM Makao Makuu, ambaye pia ni mmiliki wa Blogu ya TheNkoromo Blog na Msimamizi Mkuu wa CCM Blog, wakiwa ndani yabehewa la treni ya Tazara wakati wakisafiri kutoka Makambako kwenda Dar es Salaam.
Wanahabari waliokuwa kwenye msafara wa Komredi Kinana wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwasili Stesheni ya Tazara, Dar es Salaam leo asubuhi.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG.

This entry was posted in

Leave a Reply