Google PlusRSS FeedEmail

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA WA SABA WA WALIMU WA AFRIKA (African Confederation for Principles (ACP)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifungua mkutano wa siku 3 kwa walimu wa nchi za Afrika unaojadili kuboresha Elimu kwa nchi za Afrika. Mkutano huo unahudhuriwa na wawakilishi wa walimu kutoka nchi saba za Afrika zinazotumia lugha ya Kiingereza katika ufundishaji. (Tarehe 10,Septemba 2012)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wawakilishi wa walimu kutoka Kenya waliohudhuria mkutano wa saba wa ACP unaojadili kuhusu kuboresha Elimu kwa nchi za Afrika. Mkutano huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi saba za Afrika mathalani zile zinazotumia lugha ya Kiingereza umefunguliwa leo na Makamu wa Rais katika ukumbi wa Mlimani City Dar es salaam (Tarehe 10, Septemba 2012).

This entry was posted in

Leave a Reply