Google PlusRSS FeedEmail

MWENYEKITI WA CCM, RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kufungua na kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo katika ukumbi wa Jengo la White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Philip Mangula.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM, leo mjini Dodoma.
Taswira kwenye kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM.

This entry was posted in

Leave a Reply