Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ALFRED TANDAU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa ameongozana na mke wake Mama Salma Kikwete, wakipokelwewa  nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa  amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo. 


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo  nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa  amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo. 

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, na Mama Salma Kikwete, wakitambulishwa kwa watoto wa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau nyumbani kwa marehemu Magomeni jijini Dar es salaam walipofika kufariji wafiwa.


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma KLikwete wakiwafariji wafiwa nyumbani kwa Waziri wa zamani, Mjumbe wa halmashauri Kuu ya Taifa (Nec) na Mweka Hazina wa Taifa wa CCM wa zamani, Marehemu Alfred Tandau, aliyefariki dunia juzi jioni katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa  amelazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya tumbo. 


This entry was posted in

Leave a Reply