KATIBU MKUU WA CCM AMUAGA BALOZI WA CUBA NCHINI
Katibu Mkuu wa CCM Taifa akizungumza na Balozi Ernasto Gomez Diaz, baada ya kumkabidhi zawadi. Kulia ni Balozi Mshana kutoka Idara ya Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Edward Mpogolo kutoka ofisi ya Katibu Mkuu CCM,