Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE KATIKA UFUNGUZI WA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI.

 Rais Jakaya Mrisho  Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Chuo cha UIinzi (National Defence College) leo Septemba 10, 2012    Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia kwake  ni  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles Makalala na kushoto kabisa ni aBalozi wa China nchini Tanzania Mhe. Lu Younqing.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkuu wa Chuo cha UIinzi (National Defence College) Meja Jenerali Charles Makalala leo Septemba 10, 2012  baada ya kumkabidhi mfano wa funguo kama ishara ya kufungua rasmi chuo hicho kilichopo   Kunduchi jijini Dar es salaam. Kulia  ni  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange

 Rais Jakaya Mrisho  Kikwete akisoma hotuba yake kufungua rasmi Chuo cha UIinzi (National Defence College) kilichoko Kunduchi jijini Dar es salaam, pamoja na kuzindua kozi ya kwanza ya mwaka mmoja. Walioketi karibu yake  ni  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Chuo hicho, Meja Jenerali Charles Makalala

Rais Jakaya Mrisho  Kikwete akisoma akipozi na wanachuo wa kozi ya kwanza ya bmwaka mmoja   katika Chuo cha UIinzi (National Defence College) alichofungua rasmi leo Septemba 10, 2012 Kunduchi jijini Dar es salaam.

This entry was posted in

Leave a Reply