Suleiman Serera akichangia mada juu ya namna vyama vya siasa na asasi za kiraia vinavyoweza kushirikiana kwa nia ya kuleta maendeleo. |
WARSHA YA SIKU MBILI JUU YA ASASI ZA KIRAIA NA VYAMA VYA SIASA KUJADILI MAENDELEO YAMALIZIKA
Benedict A.Ishabakaki akifafanua masuala muhimu yanayoweza kufanyika kwa ushirikiano wa asasi za kiraia na za vyama vya kisiasa.