Google PlusRSS FeedEmail

WAANDISHI WAANDAMANA DAR

Waziri wa Mambo ya Ndani Dk. Emmanuel Nchimbi akiondoka uwanjani baada ya waandishi wa habari kumtaka aondoke,mambo mawili ya kushangaza yaliojiri ni kwamba waandishi wamemtaka waziri aondoke lakini ndio wamekuwa wa kwanza kumhoji kama anavyoonekana pichani pili waandishi hao hao wakampa nafasi Dk Xavery Rweitama wa Chadema kuongea kama rafiki wa  waandishi wa habari....Jamani taaluma hii na siasa ni vitu viwili tofauti.
Jane Mihanji ,Kiongozi wa klabu ya waandishi wa habari Dar es salaam,ambaye pia ni mwandishi wa  gazeti la Chama Cha Mapinduzi (Uhuru) akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari kusikitishwa na  kifo cha Daudi Mwangosi.
Maandamano ya Waandishi wa Habari leo kupinga kuuawa kwa mwandishi mwezao Daudi Mwangosi.


This entry was posted in

Leave a Reply