Google PlusRSS FeedEmail

KATIBU MKUU WA CCM, Ndg W. MUKAMA AHUDHURIA MKUTANO WA SOCIALIST INTERNATIONAL.

KATIBU MKUU WA CCM MHE. WILSON MUKAMA AKIFUATILIA MKUTANO MKUU WA 24 WA SOCIALIST INTERNATIONAL UNAOFANYIKA, CAPE TOWN, AFRIKA YA KUSINI. MKUTANO HUO ULIFUNGULIWA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI, MHE. JACOB ZUMA.

Katibu Mkuu wa CCM Mh. Wilson Mukama akimpongeza Katibu Mkuu wa Socialist International Mhe. Luis Ayala,
mara baada ya kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Katibu Mkuu kwa kumshinda Bi. Mona Sahlin.

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na Rais wa Socialist International na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ugiriki, George Papandreou kwenye
Mkutano wa 24 wa Socialist International unaofanyika katika Jiji la Capetown Afrika Kusini.


This entry was posted in

Leave a Reply