Mbunge wa Mchinga Mheshimiwa Said Mtanda akiongea na wananchi wake na kuwashukuru sana kwa pongezi na ameahidi kufanikisha mengi ya maendeleo katika jimbo lake. |
Mbunge wa Mchinga Mheshimiwa Said Mtanda akipokewa kwa Shangwe na Vijana wa Jimbo lake |
Mheshimiwa Tambwe Hiza akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mchinga katika sherehe za kumpongeza Mbunge wao Mh. Said Mtanda kwa kuchaguliwa kuwa mbunge wa Africa. |