MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA RUKWA 2012 – 2017.
WILAYA YA SUMBAWANGA MJINI TAREHE 29/9/2012
1. NAFASI YA MWENYEKITI WA CCM WILAYA
(i). Idadi ya wajumbe waliotarajiwa 770
(ii). Idadi ya wajumbe waliohudhuria 669
(iii). Idadi ya waliopiga kura 653
(iv). Idadi ya kura zilizoharibika 2
(v). Idadi ya kura Halali 651
- WAGOMBEA NA KURA WALIZOPATA:-
1. NDUGU, TIMOTHY B. MAKAZA - Kura 65
2. NDUGU, CHARLES V. KABANGA - Kura 76
3. NDUGU, EMANUEL S. KILINDU - Kura 508
MSHINDI:-
NDUGU, EMANUEL S. KILINDU.
NAFASI YA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA
(i) Idadi ya wajumbe waliotarajiwa 770
(ii) Idadi ya wajumbe waliohuduria 669
(iii). Idadi ya waliopiga kura 659
(iv). Idadi ya kura zilizoharibika 3
(v). Idadi ya kura Halali 656
- WAGOMBEA NA KURA WALIZOPATA:-
1. NDUGU, SAMWEL M. KISABWITI - Kura 20
2. NDUGU, ANYOSISYE T. KILUSWA - Kura 164
3. NDUGU, AESHI K. HILALY- - Kura 469
MSHINDI:-
NDUGU, AESHI K. HILALY.