HOTUBA YA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, ALIYOITOA BUNGENI LEO, 7 NOVEMBA, 2013, DODOMA
Posted on by Unknown
RAIS JAKAYA KIKWETE
Rais Jakaya Kikwete, jioni hii amelihutubia Bunge, mjini Dodoma. Katika hotuba hiyo iliyochukua zaidi ya saa moja, Rais amezungumzia masuala mbalimbali, lakini kubwa zaidi likiwa ni hali ya sasa ya Jumuia ya Afrika Mashariki na mustakabali wa Tanzania katika Jumuia hiyo. Wakati wa hotuba hiyo walikuwepo pia Makamu wa Rais Dk. Mohamed Garib Bilal na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein. Kuisoma hotuba yote, Tafadhali>BOFYA HAPA