Google PlusRSS FeedEmail

KINANA AWASILI TANDAHIMBA NA MASASI

 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dj. Asha-Rose Migiro naKatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiungana na wananchi kutembea kwa mguu katika barabara ya Mtwara Masasi, ambayo utengenezwaji wake unaendelea. Viongozi hao wapo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, ambaye kesho, Novemba 15, 2013, anaaza ziara ya siku 22 katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya.
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dj. Asha-Rose Migiro naKatibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiungana na wananchi kutembea kwa mguu katika barabara ya Mtwara Masasi, ambayo utengenezwaji wake unaendelea. Viongozi hao wapo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, ambaye kesho, Novemba 15, 2013, anaaza ziara ya siku 22 katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipewa heshima na Vijana wa CCM, alipokuwa akipita katikati yao, baada ya kuwasili kwenye mpaka wa Tandahimba na Masasi leo, Nov 13, 2013, akiwa njiani kwenda wilayani Msasi mkoani Mtwara ambako alipita kabla ya kwenda mkoani Ruvuma kuanza ziara ya siku 22 ya mkoa huo na Mbeya.
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Masasi, Kazumari Malilo (kulia) akimpokea Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana katika mpaka wa Tandahimba na Masasi mkoani Mtwara, leo Nov 13, 2013, akiwa njiani kwenda wilayani Msasi mkoani Mtwara ambako alipita kabla ya kwenda mkoani Ruvuma kuanza ziara ya siku 22 ya mkoa huo na Mbeya.
 CCM OYEEEE! Vijana hawa wa mjini Msasi, wakimuonyesha alama ya dole gumba inayotumiwa na CCM, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (Hayupo pichani), alipopita karibu karibu yao, wakati akiingia kwenye Ukumbi wa Ofisi ya CCM wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, kuzungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya wilaya hiyo, leo, Nov 13, 2013, akiwa njiani kwenda wilayani Msasi mkoani Mtwara ambako alipita kabla ya kwenda mkoani Ruvuma kuanza ziara ya siku 22 ya mkoa huo na Mbeya.
 Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Masas mkoani Mtwara, Kazumari Malilo, akifungua kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, kwenye ukumbi wa Ofisi ya CCM wilayani humo leo. Nov 13, 2013. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana ambaye aloizungumza na wajumbe wa kikao hicho.
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Wilaya ya Masasi wakimshangilia Katibu Mkuu wa CCM alipozungumza nao leo Nov 13, 2013, akiwa njiani kwenda wilayani Msasi mkoani Mtwara ambako alipita kabla ya kwenda mkoani Ruvuma kuanza ziara ya siku 22 ya mkoa huo na Mbeya.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Masasi, leo Nov 13, 2013, akiwa njiani kwenda wilayani Msasi mkoani Mtwara ambako alipita kabla ya kwenda mkoani Ruvuma kuanza ziara ya siku 22 ya mkoa huo na Mbeya.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Asha Rose Migiro akisalimia wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Masasi baada ya kutambulishwa na Kinana kwenye kikao chake na wajumbe hao, Nov 13, 2013.

This entry was posted in

Leave a Reply