Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwakaribisha miongoni mwa wawekezaji 25 kutoka taasisi ya Flanders Investiment & Trade ya nchini Ubeligiji waliowasili leo mchana kwa ndege ya shirika la ndege la Kenya Airways kwa ajili ya kuja kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania wawekezaji hao wamekuja nchini kwa juhudi kubwa za balozi Dr. Diodorus Kamala anazofanya nchini humo kama mwakilishi rasmi wa nchi ya Tanzania PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE- JKN AIRPORT Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiongozana na kiongozi wa wawekezaji hao Bw. Malin kushoto ni Bw Hassan mmoja wa waratibu wa ujio wa wawekezaji hao. Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Kamala akiwaongoza wekezaji hao ambao watakuwa na mkutano wawekezaji wa hapa nchini pia. Wawekezaji hao wakisubiri usafiri tayari kwa kuelekea kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam jijini Dar es salaam.
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
November
(42)
- ZIARA YA KINANA WILAYANI CHUNYA MOTO, AMZOA KATIBU...
- MKUTANO WA KINANA TUNDUMA WAFUNIKA, MAELFU WAJITOK...
- KINANA NA MSAFARA WAKE WATINGA WILAYANI MOMBA LEO ...
- DUNIA MZOBORA KUZIKWA MCHANA HUU MAKABURI YA KISUT...
- WAKULIMA WA ILEJE WAIKATAA MBOLEA YA MINJINGU
- KINANA AWEKA HISTORIA YA KIPEKEE KATIKA ZIARA YAKE...
- WATENDAJI WATAKIWA KUTUMIKIA WANANCHI
- ZIARA YA KINANA YATIKISA KYELA, MAELFU WAFURIKA MI...
- KINANA AWASILI KYELA BAADA YA SAFARI YA ZAIDI YA S...
- KINANA AMALIZA ZIARA WILAYANI NYASA, AKWEA MELI KW...
- KINANA AVUNA WANACHAMA KIBAO KUTOKA UPINZANI
- KINANA AANZA ZIARA YA NYASA
- KINANA AZUNGUMZIA VIONGOZI WASIO NA SIFA
- KINANA: CCM HAITORUBUNIWA KWA AJILI YA KUPATA KURA
- WATENDAJI WA SERIKALI WATAKIWA KUWASIKILIZA WANANCHI
- WANACHAMA 300 KUTOKA UPINZANI WAJIUNGA NA CCM PERA...
- KINANA AAHIDI UTUMISHI ULIOTUKUKA
- KINANA AKUTANA NA WANA VYUO SONGEA MJINI
- MAELFU WAFURIKA MKUTANO WA KINANA SONGEA JIONI HII
- KINANA AWASILI WILAYA YA SONGEA MJINI
- KINANA NA UJUMBE WAKE WATINGA NAMTUMBO KIAINA, WAP...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA TUNDURU KWA MA...
- KINANA AHUTUBIA VIJIJI VITATU TUNDURU KUSINI
- WANANCHI KUSINI WATAKA KOROSHO IBANGULIWE NCHINI
- KINANA AWASILI TANDAHIMBA NA MASASI
- KINANA AWASILI MTWARA, YUPO NA DK. ASHA-ROSE MIGIR...
- DK. SENGONDO MVUNGI AMEFARIKI DUNIA LEO
- CCM: ZIARA ZA KINANA MIKOANI ZAONYESHA TIJA
- RAIS KIKWETE AMPA RUNGU MAGUFU7LI
- WAWEKEZAJI WA KUTOKA UBELGIJI WAWASILI NCHINI
- NAPE AWAKUNA WANANCHI WA TARIME, WASEMA SI MNAFIKI
- HOTUBA YA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS ...
- DK. SENGONDO MVUNGI APELEKWA AFRIKA KUSINI LEO
- NSSF YAWASILISHA BUNGENI MPANGOKAZI WAKE WA UTEKEL...
- PRESIDENT KIKWETE ATTENDS AU SUMMIT IN PRETORIA
- WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA BUNGENI LEO
- WENYEVITI WA CCM KATA ZOTE WILAYANI KINONDONI, DAR...
- DK. REHEMA NCHIMBI: WENYEVITI CCM FANYENI KAZI YA ...
- NAPE ATIMIZA AHADI NYAMONGO
- WATANZANIA UINGEREZA WALIVYOMUAGA KWA WINGI RAIS J...
- RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO MJINI LONDON
- CCM NA CPC WAPEANA SOMO DAR
-
▼
November
(42)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.