KINANA NA MSAFARA WAKE WATINGA WILAYANI MOMBA LEO ASUBUHI
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakisalimiana na viongozi wa wilaya ya Momba mkoani Mbeya, katika mpaka wa wilaya hiyo na Ileje leo saa 5 asubuhi.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, akisalimiana na viongozi wa wilaya ya Momba mkoani Mbeya, katika mpaka wa wilaya hiyo na Ileje leo saa 5 asubuhi.
Viongozi wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Momba, wakimsalimia Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na ujumbe wake, alipokutana nao katika kikao cha ndani kwenye ukumbi wa Uwanji, wilayani humo, leo. Imetayarishwa na CCM BLOG