Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahaman Kinana akiwapokea wanachama zaidi ya 300 kutoka vyama vya upinzani ambao wameamua kujiunga rasmi na CCM, ziara hii ya Katibu Mkuu wa CCM imekuwa na mafanikio ya hali ya juu kwani kila anapomaliza kuhutubia mamia ya wapinzani wanarudisha kadi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpa mkono wa pole Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Songea Vijijini Ndugu Neli Due aliyepata matatizo ya kupooza mkono na mguu,nyumbani kwake mtaa wa Mtakuja Bombanbili.