Mwenyekiti wa CCM UK Ndugu Maina Owino akiongea jambo na Rais Kikwete |
Rais Kikwete akijibu swali la Ndugu Maina Owino |
Rais Kikwete akielekea kusalimiana na watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni |
Mwenyekiti wa CCM UK akisalimiana na Rais Kikwete na kumshukuru kwa muda wake aliojitoela kuongea na baadhi ya watanzania waliojitokeza jioni ya jana kumuaga. |
Said Surur aksalimiana na Rais Kiwete pembeni yake ni Ndugu Ahmed Dibibi, Hussein Kova na Gonex |
Ndugu Kapinga na Mohamed Upete wakisalimiana nakuagana na Rais Kikwete |
Hussein Kova na Gonex wakisalimiana na kuagana na Rais Kikwete |
Rais Kikwete akisalimana na Diaspora blogger Jestina George Meru |
Rahma Lupatu akiwa katika pose na Rais Kikwete mud mchacehe kabla hajaondoka |
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waliojitokeza kumuaga jana jioni katika hotel ya Churchill London. |
Baada ya kuagana na Rais Kikwete wadau waliojitokeza kumuaga walipata fursa ya kupiga picha na kubadilishana mawazo na Waziri wa Sheira na Katiba Mhe. Mathias Chikawe (watano kushoto). |
Waziri wa Sheira na Katiba Mhe. Mathias Chikawe akiwa katika picha ya pamoja wa watanzania waishio UK kutoka kushoto ni hussein Kove, Mariam Mungula, Mhe. Waziri, Kapinga Kangoma na Mohamed Upete. |
Mhe. waziri Chikawe akibadilishana mawazo na wadau |
Jestina George, GONEX & Hussein |
Moi & Hussein |
Hussein, Said Sururu & Gonex |
Moi & Fred Maro (mpiga picha wa Ikulu) |
Mariam Mungula, Rahma Lupatu, Mhe. Chikawe & Mrs. Meru |
Mhe. Chikawe katika picha ya pamoja ya Ahmed |
Mhe. Chikawe akibadilishana mawazo na Mariam & Ahmed |
Mazungumzo yakiendelea |
Mariam & Ahmed wakibadilishana mawazo |
Nayla, Munira, JwaD, Mariam, Rahma & Ahmed Picha na Jestina George |