Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika kata ya Ipinda, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013, alipowasili katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua.
Maelfu wa wananchi wakimsikiliza Katibu wa NEC, Itikadi na Unezi Nape Nnauye kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Kata ya Ipinda, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013.
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia maelfu ya wananchi katika kata ya Ipinda, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013, Wakati Katubu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipowasili katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua.
Katibu Mkuu wa CCM, akikagua mradi wa maendeleo ya Ujenzi wa jengo la huduma za wenye virusi vya Ukimwi,katika Hospitali ya wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013, alipowasili katika wilaya hiyo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya, Maganga Sengerema na Katibu wa NEC, Itikati na Uenezi Nape Nnauye.
Baba, Raphael Simon (kulia) na mtoto wake, Simon Raphael waliokuwa wanachama wa Chadema, wakiwa na kadi za Chama hicho kabla ya kumkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), katika mkutano wa shina, uliofanyika nyumbani kwa Mjumbe wa shina la Menasi Ndoma, Kata ya Matema, Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwa na Mjumbe wa Shina, Menas Ndomba, baada ya kuwasili nyumbani kwa mjumbe wa shina hilo, katika kata ya Matema, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013. alipowasili katika kata hiyo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa KImataifa, Dk. Asha-Rose (watatu kushoto waliokaa), na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (katikati) wakiwa na wananchi, nyumbani kwa mjumbe wa shina, Nemas Ndoma, Kata ya Matema, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013, wakati Katibu Mkuu wa CCM alipowasili nyumbani kwa mjumbe huyo wa shina, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya Dk. Mary Mwanjelwa, akilala chini mbele ya wananchi nyumbani kwa mjumbe wa shina, Menasi Ndoma, kuwashukuru kwa mapokezi mazuri ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), alipowasili katika shina hilo akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua.
Kupenda watoto: Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akichezea 'kigari' cha watoto Asifiwe Mwambene na John Asimwisye, alipokutana nao njiani akiwa katika ziara, ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kushirikiana nao njia ya kuzitatua, katika Kata ya Matema, wilayani Kyela mkoani Mbeya, Nov 24, 2013.
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
November
(42)
- ZIARA YA KINANA WILAYANI CHUNYA MOTO, AMZOA KATIBU...
- MKUTANO WA KINANA TUNDUMA WAFUNIKA, MAELFU WAJITOK...
- KINANA NA MSAFARA WAKE WATINGA WILAYANI MOMBA LEO ...
- DUNIA MZOBORA KUZIKWA MCHANA HUU MAKABURI YA KISUT...
- WAKULIMA WA ILEJE WAIKATAA MBOLEA YA MINJINGU
- KINANA AWEKA HISTORIA YA KIPEKEE KATIKA ZIARA YAKE...
- WATENDAJI WATAKIWA KUTUMIKIA WANANCHI
- ZIARA YA KINANA YATIKISA KYELA, MAELFU WAFURIKA MI...
- KINANA AWASILI KYELA BAADA YA SAFARI YA ZAIDI YA S...
- KINANA AMALIZA ZIARA WILAYANI NYASA, AKWEA MELI KW...
- KINANA AVUNA WANACHAMA KIBAO KUTOKA UPINZANI
- KINANA AANZA ZIARA YA NYASA
- KINANA AZUNGUMZIA VIONGOZI WASIO NA SIFA
- KINANA: CCM HAITORUBUNIWA KWA AJILI YA KUPATA KURA
- WATENDAJI WA SERIKALI WATAKIWA KUWASIKILIZA WANANCHI
- WANACHAMA 300 KUTOKA UPINZANI WAJIUNGA NA CCM PERA...
- KINANA AAHIDI UTUMISHI ULIOTUKUKA
- KINANA AKUTANA NA WANA VYUO SONGEA MJINI
- MAELFU WAFURIKA MKUTANO WA KINANA SONGEA JIONI HII
- KINANA AWASILI WILAYA YA SONGEA MJINI
- KINANA NA UJUMBE WAKE WATINGA NAMTUMBO KIAINA, WAP...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA TUNDURU KWA MA...
- KINANA AHUTUBIA VIJIJI VITATU TUNDURU KUSINI
- WANANCHI KUSINI WATAKA KOROSHO IBANGULIWE NCHINI
- KINANA AWASILI TANDAHIMBA NA MASASI
- KINANA AWASILI MTWARA, YUPO NA DK. ASHA-ROSE MIGIR...
- DK. SENGONDO MVUNGI AMEFARIKI DUNIA LEO
- CCM: ZIARA ZA KINANA MIKOANI ZAONYESHA TIJA
- RAIS KIKWETE AMPA RUNGU MAGUFU7LI
- WAWEKEZAJI WA KUTOKA UBELGIJI WAWASILI NCHINI
- NAPE AWAKUNA WANANCHI WA TARIME, WASEMA SI MNAFIKI
- HOTUBA YA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS ...
- DK. SENGONDO MVUNGI APELEKWA AFRIKA KUSINI LEO
- NSSF YAWASILISHA BUNGENI MPANGOKAZI WAKE WA UTEKEL...
- PRESIDENT KIKWETE ATTENDS AU SUMMIT IN PRETORIA
- WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA BUNGENI LEO
- WENYEVITI WA CCM KATA ZOTE WILAYANI KINONDONI, DAR...
- DK. REHEMA NCHIMBI: WENYEVITI CCM FANYENI KAZI YA ...
- NAPE ATIMIZA AHADI NYAMONGO
- WATANZANIA UINGEREZA WALIVYOMUAGA KWA WINGI RAIS J...
- RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO MJINI LONDON
- CCM NA CPC WAPEANA SOMO DAR
-
▼
November
(42)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.