HONGERA WATANZANIA KWA KUADHIMISHA KWA KISHINDO MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR, LEO
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, wanatoa hongera kwa Watanzania wote kwa kuadhiumisha kwa kishindo miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, leo.