WAZIRI MKUU AREJEA DODOMA LEO KUENDELEA NA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya kikao cha Bunge Maalum la Katiba akitoka Dar es Salaam, Aprili 23, 2014. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Dk. Rehema Nchimba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)