Google PlusRSS FeedEmail

RIDHIWANI AHUTUBIA WAKAZI WA KATA YA BWILINGU CHALINZE

Wanachama wa CCM Tawi la Mbala kata ya Bwilingu wakimsikiliza Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika  kwenye uwanja wa Kula Kwa Jasho.
 Mgombea Ubunge wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa Tawi la Mbala kata ya Bwilingu wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa muda sasa wa kumaliza matatizo ya maji , na ni wakati muafaka wa kujenga hospitali kubwa katika Jimbo hilo.
 Mbunge wa Viti Maluum kutoka mkoa wa Pwani Ndugu Zainabu Vulu akiwahutubia wananchi wa tawi la Mbala kata ya Bwilingu wakati wa kampeni za Ubunge Jimbo la Chalinze.
 Nayma Malima  akicheza muziki na vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakati wa mkutano wa kampeni za Ubunge za kumnadi mgombea wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete zilizofanyika Mbala kata ya Bwilingu ,Chalinze.
Hadhara Charles maarufu kama Ronaldo akionyesha uwezo wake wa kucheza mpira wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Tawi la Mbala kata ya Bwilingu.

This entry was posted in

Leave a Reply