Google PlusRSS FeedEmail

KINANA AKAGUA MRADI WA MAJI KASULU

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasabahi wananchi wa kijiji cha Nyumbigwa ambapo alikagua mradi wa maji.
Mbunge wa Viti Maalum Josephine Gezabuke akizungumza na wananchi  wakati waziara ya Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana kukagua mradi wa maji wa kijiji cha Nyumbigwa .
 Diwani wa Kata ya Nyumbigwa Benjamini Chalukula akiwa amebebwa juu na wananchi wa kata yake ikiwa ishara ya kuwatumikia vizuri wakati Katibu Mkuu wa CCM alipofanya ziara kwenye kata hiyo iliyopo wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma.
Tanki la maji la kijiji cha Nyambigwa lina uwezo wa kubeba lita 290,975 na kuwahudumia zaidi ya watu elfu 11. Picha na Adam Mzee-CCM Blog

This entry was posted in

Leave a Reply