Google PlusRSS FeedEmail

MAMA SALMA KIKWETE AMFARIJI WAZIRI HAWA GHASIA KWA KUFIWA NA BABA YAKE MZAZI

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimfariji leo jioni Waziri wa TAMISEMI Hawa Ghasia kufuatia msiba wa baba yake mzazi Abdulrahman Ghasia uliotokea jana Kijiji cha Naumbu mkoani Mtwara.
Baadhi ya waombolezaji waliofuatana na Mama Salma Kikwete wakimfariji Hawa Ghasia kwenye msiba huo
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Baba Mzazi wa Waziri Hawa Ghasia, Marehemu Abdulrahman Ghasia leo wakati Mama Kikwete akipoenda kumpa pole waziri huyo
Chakula kikigawiwa kwa waombolezaji walkiohudhuria msiba huo. PICHA NA BASHIR NKOROMO

This entry was posted in

Leave a Reply