Google PlusRSS FeedEmail

NAPE; BUNGE KURUSHWA LIVE KUTAIMALIZA CHADEMA

.

  •  Asema wananchi wanakerwa na fujo zao bungeni.
  •  Adai zitapunguza idadi ya wabunge wao bungeni.
  • Zitashusha hadhi yao kwa umma.
  • Asema walitumwa kutetea wananchi, si kufanya fujo.
Juliana Shonza akihutubia wakazi wa Temeke juu ya maamuzi yake thabiti ya kujiunga na CCM

Mtela Mwampamba akiwaeleza wananchi wa Temeke mapungufu makubwa ya kidemokrasia yaliyopo kwenye vyama vya upinzani na hivyo kumfanya yeye binafsi kuchukua uamuzi wa kujiunga na CCM.

Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake , Saumu amejiunga rasmi CCM baada ya kugundua chama alichokuwepo kinahubiri haki nje wakati ndani hamna haki kabisa.

Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi, akihutubia wananchi wa Wilaya ya Temeke na kuwahakikishia kuwa CCM itaisimamia serikali itekeleze ilani yake ya Uchaguzi kwa asilimia 100.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke ,Ndugu Sophia Mjema akiwapungia wananchi wa Temeke wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile ,Temeke ,Mwisho.

Wananchi na Wapenzi wa CCM kutoka kata ya Kilakala,Yombo kama walivyojitambulisha ,walisema Nape ameongea mambo mengi ya msingi na kumtakia heri aendelee kufanya kazi nzuri.

Wasanii wa kikundi cha TMK wakitoa burudani kwenye uwanja wa nyumbani wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile, Temeke,tarehe 16/2/2013.

Baadhi ya wananchi wakionekana kuelewa vizuri maneno ya viongozi wao.

Kikundi cha Hamasa cha CCM,Temeke kikihamasisha kwa aina yake wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile,Temeke.

This entry was posted in

Leave a Reply