Google PlusRSS FeedEmail

ZOEZI LA UPIGAJI KURA LILIVYOENDESHWA PICHANI




Wajumbe wa NEC wakiwa tayari kwa zoezi la kupiga kura


Maafisa wa chama wakiwa katika usimamizi wa shughuli nzima ya kupiga kura.

Makatibu wa NEC,Kutoka kushoto Zakia Meghji, Dk. Asha-Rose Migiro na  Mohamed Seif Khatib



Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akipiga kura kuchagua wajumbe wa Kamati Kuu ya  CCM

Makamu wa pili wa Rais,Zanzibar ,Balozi Seif Idd na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Mwigulu Lameck Nchemba wakipiga kura za wajumbe wa kamati kuu ya CCM,Taifa.

This entry was posted in

Leave a Reply