Google PlusRSS FeedEmail

KATIBU MKUU WA CCM NA UJUMBE WAKE WAPATA SEMINA BEIJING LEO

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa nne kulia) na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM anaoongoza nao katika ziara ya mafunzo nchini China kwa mwaliko wa Chama Cha Kikomunisti cha nchi hiyo (PCP), wakiwa kwenye semina iliyoendeshwa na Profesa Fan Jida (wa nne kushoto) kukua kwa Uchumi wa China na changamoto inazokabiliana nazo kiuchumi. Semina hiyo imefanyika katika hoteli ya Wanshou mjini Baijing China, Machi 18, 2013. Baadhi ya washiriki kutoa kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Martine Shigela, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani, Mjumbe wa Kati Kuu ya CCM, Khadija Aboud na Katibu wa NEC, Siasa, Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai. (Picha na Bashir Nkoromo).

This entry was posted in

Leave a Reply