Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA UAE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake
wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake
wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana  na Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake
wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013

 PICHA NA IKULU

This entry was posted in

Leave a Reply