Google PlusRSS FeedEmail

TAWI LA DMV MAREKANI KUFANYA UCHAGUZI JUMAMOSI

Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Ndugu Abdulrahaman Kinana akiwa na viongozi wa sasa wa Chama Cha Mapinduzi Tawi la MDV Marekani.


Taarifa ya mkutano wa wanachama wa chama cha mapinduzi wa maeneo ya District of Colombia, Maryland na Virginia ( DMV)
Ndugu Wana CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano wa uchaguzi bila kukosa, Ni nafasi ya kuwachagua viongozi wako utakao wapenda kujenga Chama imara.
SIKU: JUMAMOSI Machi 16, 2013
MUDA: SAA 10 JIONI (4pm)
MAHALI: TUTAWATANGAZIA
Ili uweze kupiga kura hakikisha una kadi yako ya Chama na uwe mwanachama hai, na kama huna kadi au umepoteza tafadhali wasiliana na Katibu wa Tawi wa muda
Yacob Kinyemi, Simu (202)-629-7841, email: yacob1972@yahoo.com

Nafasi zinazowaniwa ni:
1) Mwenyekiti wa tawi
2) Katibu wa Tawi
3) Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa Tawi
4) Katibu wa Fedha na Uchumi wa tawi
5) Mwenyekiti wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
6) Katibu wa Vijana wa Tawi (UVCCM)
7) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT)
8) Katibu wa Jumuiya ya Wanawake ya Tawi (UWT)
9) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Tawi
10) Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Tawi

SIFA ZA MGOMBEA:
1. Awe na umri kuanzia miaka 18
2. Awe mwachama wa CCM mwenye kadi
Fomu za kugombania nafasi za uchaguzi ziwakilishwe kwa M/Kiti ( HIDAYA MAHITA)wa Kamati ya Uchaguzi kwa njia ifuatayo:
Fax: 1(888)835-5784 Email: ccmwashdc@gmail.com
Mailing address: 1709 HAMPSHIRE GREEN LANE#33 SILVER SPRING MD 20903


MWISHO WA KUCHUKUA NA KURUDISHA FOMU HIZO NI TAREHE 8 MARCH 2013.
WAGOMBEA NA NAFASI ZAO HAPA CHINI:

NAFASI YA MWENYEKITI WA TAWI

1.George Sebo
2.Mrisho Mzese

NAFASI YA KATIBU WA TAWI

1.Yacob Kinyemi

NAFASI YA KATIBU UCHUMI NA FEDHA

1.Faraja Isingo

NAFASI YA KATIBU MWENEZI NA ITIKADI

1.Salma Moshi
2.Steven Charles Ngosha

NAFASI YA UMOJA WA WANAWAKE

1.Eliserena Kimolo
NAFASI YA JUMUIYA YA WAZAZI
1.Grace Mgaza

NAFASI YA MWENYEKITI WA UMOJA WA VIJANA-UVCCM
1.Al Amin Hassan Othman

NAFASI YA KATIBU WA UMOJA WA VIJANA-UVCCM
1.Fadhil Londa
2.Grace Mlingi

NAFASI YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU
1.Warashi Khamisi
2.Ishmail Mwilima
3.Mselemu K. Omary

WANACCM WOTE DMV...ILI UWEZE KUSHIRIKI KWENYE UCHAGUZI WA VIONGOZI JUMAMOSI HII HAKIKISHA YAFUATAYO:

1. NI MWANACHAMA HAI - KADI LAZIMA IWE NA PICHA NA IWE IMESAJILIWA KWENYE KITABU CHA WANACHAMA WA TAWI
2. UNAKUJA NA KITAMBULISHO CHENYE PICHA YAKO PAMOJA NA KADI YAKO YA UANACHAMA

TUNAWATAKIA UCHAGUZI MWEMA..KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..!

This entry was posted in

Leave a Reply