Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi, baada ya kuwasili katika bandari ndogo ya Kiwira, wilayani Kyela mkoani Mbeya akitokea Mbamba Bay, Songea, leo Nov 24,2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana 'akiwasaluti' Wananchi baada ya kuwasili katika bandari ya Kiwira, wilayani Kyela mkoani Mbeya akitokea Mbamba Bay, Songea, leo Nov 24, 2013. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengerema na kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiri (kulia), wakishuka kutoka katika mv Songea, baada ya msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kuwasili katika bandari ndogo ya Kiwira, wilayani Kyela mkoani Mbeya akitokea Mbamba Bay, Songea, leo Nov 24, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiongozwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya Godfrey Zambi, baada ya kushuka katika Mv Songea, baada ya kuwasili katika bandari ndogo ya Kiwira, wilayani Kyela mkoani Mbeya akitokea Mbamba Bay, Songea, leo Nov 24, 2013.
Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Mbunge wa Kyela, Dk. Harrison Mwakyembe akimlaki wa furaha, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, alipompokea katibu mkuu huyo, baada ya kuwasili katika bandari ndogo ya Kiwira, wilayani Kyela mkoani Mbeya akitokea Mbamba Bay, Songea, leo Nov 24, 2013. Kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuwasili katika bandari ndogo ya Kiwira, wilayani Kyela mkoani Mbeya akitokea Mbamba Bay, Songea, leo Nov 24,2013.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (Kushoto, aliyenyoosha mkono) akikagua kivuko katika bandari ya zamani ya Itunge, baada ya kuwasili wilayani Kyela mkoani Mbeya akitokea Mbamba Bay, Songea, leo Nov 24, 2013. Bandari hiyo ambayo imekufa kwa miaka mingi sasa, ipo katika mpango wa kufufuliwa na serikali.
Nahodha wa mv Songea Tom Faya akimpatia maelekezo ya namna meli hiyo inavyofanya kazi, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na ujumbe wake, wakati katibu mkuu huyo alipokuwa akisafiri na meli hiyo kutoka Mbamba Bay mkoani Ruvuma kwenda Kyela mkoani Mbeya, leo Nov 24,2013. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Siasa na Uhisiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro. Kwenye usukukani ni Nahodha Msaidizi, Conrad Shauritanga.
Baadhi ya abiria waliosafiri na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana katika mv Songea, alipokuwa alitokea Mbamba Bay mkoani Ruvuma kwenda Kyela mkoani Mbeya. Meli hiyo iliyoanza kazi katika Ziwa Nyasa, mwaka 1974, ina uwezo wa kubeba abiria 213 wakiwemo wafanyakazi 13 wa meli hiyo.
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
November
(42)
- ZIARA YA KINANA WILAYANI CHUNYA MOTO, AMZOA KATIBU...
- MKUTANO WA KINANA TUNDUMA WAFUNIKA, MAELFU WAJITOK...
- KINANA NA MSAFARA WAKE WATINGA WILAYANI MOMBA LEO ...
- DUNIA MZOBORA KUZIKWA MCHANA HUU MAKABURI YA KISUT...
- WAKULIMA WA ILEJE WAIKATAA MBOLEA YA MINJINGU
- KINANA AWEKA HISTORIA YA KIPEKEE KATIKA ZIARA YAKE...
- WATENDAJI WATAKIWA KUTUMIKIA WANANCHI
- ZIARA YA KINANA YATIKISA KYELA, MAELFU WAFURIKA MI...
- KINANA AWASILI KYELA BAADA YA SAFARI YA ZAIDI YA S...
- KINANA AMALIZA ZIARA WILAYANI NYASA, AKWEA MELI KW...
- KINANA AVUNA WANACHAMA KIBAO KUTOKA UPINZANI
- KINANA AANZA ZIARA YA NYASA
- KINANA AZUNGUMZIA VIONGOZI WASIO NA SIFA
- KINANA: CCM HAITORUBUNIWA KWA AJILI YA KUPATA KURA
- WATENDAJI WA SERIKALI WATAKIWA KUWASIKILIZA WANANCHI
- WANACHAMA 300 KUTOKA UPINZANI WAJIUNGA NA CCM PERA...
- KINANA AAHIDI UTUMISHI ULIOTUKUKA
- KINANA AKUTANA NA WANA VYUO SONGEA MJINI
- MAELFU WAFURIKA MKUTANO WA KINANA SONGEA JIONI HII
- KINANA AWASILI WILAYA YA SONGEA MJINI
- KINANA NA UJUMBE WAKE WATINGA NAMTUMBO KIAINA, WAP...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE WILAYA YA TUNDURU KWA MA...
- KINANA AHUTUBIA VIJIJI VITATU TUNDURU KUSINI
- WANANCHI KUSINI WATAKA KOROSHO IBANGULIWE NCHINI
- KINANA AWASILI TANDAHIMBA NA MASASI
- KINANA AWASILI MTWARA, YUPO NA DK. ASHA-ROSE MIGIR...
- DK. SENGONDO MVUNGI AMEFARIKI DUNIA LEO
- CCM: ZIARA ZA KINANA MIKOANI ZAONYESHA TIJA
- RAIS KIKWETE AMPA RUNGU MAGUFU7LI
- WAWEKEZAJI WA KUTOKA UBELGIJI WAWASILI NCHINI
- NAPE AWAKUNA WANANCHI WA TARIME, WASEMA SI MNAFIKI
- HOTUBA YA MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS ...
- DK. SENGONDO MVUNGI APELEKWA AFRIKA KUSINI LEO
- NSSF YAWASILISHA BUNGENI MPANGOKAZI WAKE WA UTEKEL...
- PRESIDENT KIKWETE ATTENDS AU SUMMIT IN PRETORIA
- WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA BUNGENI LEO
- WENYEVITI WA CCM KATA ZOTE WILAYANI KINONDONI, DAR...
- DK. REHEMA NCHIMBI: WENYEVITI CCM FANYENI KAZI YA ...
- NAPE ATIMIZA AHADI NYAMONGO
- WATANZANIA UINGEREZA WALIVYOMUAGA KWA WINGI RAIS J...
- RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO MJINI LONDON
- CCM NA CPC WAPEANA SOMO DAR
-
▼
November
(42)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.
Kazi nzuri Nkoromo Unavyojua angle za Photoooo hadi raha, Niimani yangu sasa chama Kimerudi kwenye heshma yake.