Google PlusRSS FeedEmail

DARAJA LA KAINGESA

Daraja la Kaingesa likiwa kwenye hatua za kukamilika hapa Sumbawanga mkoani Rukwa,Daraja hili ni moja ya  madaraja kadhaa yanayojengwa kwenye barabara kuu ya kutoka Tunduma kwenda Sumbawanga.

This entry was posted in

Leave a Reply