Google PlusRSS FeedEmail

MKUTANO WA CCM KIGOMA MJINI

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Charles Tzeba akihutubia kwenye  mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye  Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini  Kigoma.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala wa Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI,) Aggrey Mwanri akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye  Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini  Kigoma.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akihutubia, kwenye mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye  Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini  Kigoma.

Waziri wa Nchi Ofsi ya Rais, Mahusiano, Steven Wasira akihutubia kwenye  mkutano wa CCM uliofanyika, jana , Julai 22, 2012, kwenye  Uwanja wa Community Centre, Mwanga mjini  Kigoma.
Wazee wa mkoa wa KIgoma kwenye mkutano wa CCM, Uwanjwa wa Community Cetre Mwanga Kigoma
Viongozi wa Chama na Serikali
Mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa CCM katika Uwanja wa Community Centre, Mwanga mkoani Kigoma

This entry was posted in

Leave a Reply