Google PlusRSS FeedEmail

KONGAMANO LA KATIBA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU LAKAMILIKA LEO.

 Said Nzori kutoka ofisi ya Mwanasheria Mkuu Bara (TUME) akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa kusoma na kujua sheria.
Wanafunzi kutoka vyuo vya elimu ya juu wakifuatilia kwa makini uchambuzi wa mada mbali mbali juu ya katiba.
 Hassan A. Haji  kutoka ofisi ya mwanasheria mkuu ZNZ (TUME) akizungumzia taratibu na jinsi tume  ilivyojipanga kupokea maoni.
Naibu Katibu wa Tume ya mabadiliko ya katiba Nd.Casmir S. Kyuki akifafanua masuala ya msingi juu ya mabadiliko ya Katiba.
Dk.Harrison Mwakyembe Mwenyekiti wa Kongamano hilo akimkaribisha  Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Mh.Joseph Sinde Warioba

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba akifunga Kongamano la Katiba.

This entry was posted in

Leave a Reply