Google PlusRSS FeedEmail

NAPE,MAWAZIRI WATUA KIGOMA, KUUNGURUMA UWANJA WA COMMUNITY CETRE MWANGA MCHANA HUU‏

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na ujumbe wake wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kipamba mkoani Kigoma. Kushoto mwisho ni Waziri Steven Wasira.
Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba akisalimiana na wananchi baada ya kuwasili na Nape kwenye Uwanja wa Ndege wa Kipamba mkoani humo leo
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akishiriki na vijana kucheza ngoma ya Kasimbo ya mkoa wa Kigoma, baada ya kuwasili Uwanja wa Kipampa mkoani humo, leo


Waendesha pikipiki wakiongoza msafara wa Nape kutoka uwanja wa Ndege wa Kipampa mkoani Kigoma leo

This entry was posted in

Leave a Reply