Google PlusRSS FeedEmail

MAMA MARIA NYERERE AKABIDHIWA FILAMU YA MWALIMU NYERERE.

Msanii wa Filamu hapa nchini, Steve Nyerere akisalimiana na Mama Maria Nyerere alipokwenda kumkabidhi Filamu yake ya Mwalimu Nyerere kama Shukrani yake kwa Mama Maria kwa kumsaidia kutengeneza na kukamilisha Filamu hiyo iliyotengenezwa katika kijiji cha Butihama Mkoani Mara.
Mama Maria Nyerere akiwa ameshika Filamu za Steve Nyerere baada ya kukabidhiwa.
Mama Maria Nyerere akiwa katika picha ya pamoja na wasanii mbalimbali wa Filamu Hapa Nchini ambao waliambatana na Steve Nyerere katika Kukabidhi Filamu hiyo.

This entry was posted in

Leave a Reply