Google PlusRSS FeedEmail

MUHAMED SEIF KHATIB AKABIDHIWA RASMI OFISI, LUMUMBA‏

KATIBU wa NEC, Oganaizesheni Dk. Muhamed Seif Khatib (kushoto) akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa akishika wadhifa huo kabla ya mabadiliko ya Sekretarieti ya CCM yaliyofanyika hivi karibuni, Asha Abdalaah Juma, katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika, leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto Ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Uchaguzi kilichopo Idara ya Oganaizesheni, Matson Chizi. (Picha na Bashir Nkoromo).  

Wakisaini hati za makabidhiano
Wakikabidhiana hati.

This entry was posted in

Leave a Reply