Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AKABIDHIWA HATI YA BIMA YAKE YA MAISHA LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya   Shirika la Bima la Taifa toka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake  Bw. Justine Mwandu leo Ikulu jijini Dar es salaam.
Shirika hilo ambalo limefufuk upya linaadhimisha miaka 50 ya kuanzisha kwake mwakani.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia hati ya bima yake ya maisha baada ya kukabidhiwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa Bw. Justine Mwandu leo Ikulu jijini Dar es salaam.
 Picha na Ikulu.

This entry was posted in

Leave a Reply