Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE APOKEA MAJENGO MAPYA MATATU YA HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO DAR ES SALAAM

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika na Balozi wa Korea kwa pamoja wakifungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja wakitembelea sehemu ya chumba cha upasuaji mkubwa chenye vifaa vya kisasa baada ya kufungua  rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete wakimsalimia mzazi aliyejfungua salama alipofanya ziara baada ya kufungua  rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipewa saluti alipowasili kufungua rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Sinza Palestine Kinondoni jijini Dar es salaam leo December 12, 2012

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na Balozi wa Korea kwa pamoja katika picha ya pamoja na madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Mnazi mmoja  baada ya kufungua  rasmi jengo la Huduma za Mama na Mtoto katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala ijini Dar es salaam leo December 12, 2012

This entry was posted in

One Response so far.

  1. hongera mheshimiwa Rais kwa ufunguzi wa majengo yenye vifaa vya kisasa! tunafurahi kuona serikali ikiendelea kuboresha huduma za afya japo changamoto bado zipo hasa maeneo ya vijijini, natumai serikali yako itazidi kuboresha huduma za afya nchi sambasamba na uboreshaji wa mazingira bora ya kufanyia kazi kwa wauguzi, madaktari n.k ili kuongeza ufanisi katika kazi zao.

Leave a Reply