Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI 192 NA KUFUNGUA MAKTABA YA CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHO MONDULI LEO.

Amiri Jeshi  Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa gwaride wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 tayari kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi 192 waliohitimu chuoni hapo.

"...Mheshimiwa Rais naomba kukupiga picha msichana Shalom anamwambia Amiri Jeshi  Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete   katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.

Amiri Jeshi  Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua  gwaride la  maafisa wanafunzi katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo

Amiri Jeshi  Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitunuku kamisheni kwa  maafisa wanafunzi 192  katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012

:Amiri Jeshi  Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi kamtaba ya kisasa  katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 baada ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.

Amiri Jeshi  Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea bweni namba 15 ambamo Rais Kikwete alikuwa akiishi wakati akiwa mafunzoni hapo  katika Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli, Arusha, leo Jumamosi Desemba 15, 2012 kabla ya kuwakutunuku kamisheni maafisa hao 192 waliohitimu chuoni hapo.

This entry was posted in

Leave a Reply