VIJANA HAWA WANAHITAJI KUSAIDIWA...
Vijana wanaofanya biashara kwenye barabara kuu kama ionekanavyo hapo pichani kwenye bara bara ya Mandela, wanahitaji kusaidiwa kwa mambo men... [Read More]
Dr Shein akihutubia wananchi wa Zanzibar,juu ya Amani na Utulivu. |
Na; Ali Msuko, Znz.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dr Ally Mohamed Shein amewahimiza wananchi wa Zanzibar kuimarisha amani waliyonayo na kuachana na vitendo vya vurugu vinanvyofanywa nchini humo na baadhi ya makundi ya watu wachache wanaojiita UAMSHO.
Dr Shein aliyasema hayo juzi alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Zanzibar kwenye baraza la Eid el Hajj lililofanyika kwenye ukumbi wa Salama Bwawani Hotel. Dr Shein alieleza "Serikali itaendelea kuwaelimisha wananchi umuhimu wa kufuata taratibu kama hatua muhimu ya kuimarisha utawala bora nchini. Hata hivyo, suala la kusimamia taratibu na kuona kuwa sheria zetu zinazingatiwa ni la kila mwananchi na sio serikali pekeyake" alisema Dr. Shein
Zaidi ya hayo, Dr. Shein pia aliwasihi wananchi wote juu ya umuhimu wa kuimarisha umoja na mshikamano ambao ndio msingi mkubwa wa amani na utulivu tulionao.
Dr. Shein pia alizungumza juu ya fujo zilizotokea nchini humo kati ya tarehe 17/10 na tarehe 19/10 zilizopelekea kuchomwa moto kwa maskani za CCM, kuvunjwa maduka, kuporwa mali za watu na pia kupelekea kuuliwa kwa askari wa Polisi wa Kikosi cha FFU No. F2105, Koplo Said Abdulrahman. Aliwaasa wananchi kutojihusisha na vitendo vya fujo na vurugu vinavyolenga kuvunja amani. Pia alitoa pole kwa familia ya marehemu na wananchi wote kwa ujumla walioathirika na vurugu hizo.
DR SHEIN AHIMIZA AMANI NA USALAMA ZANZIBAR.
Dr Shein akihutubia wananchi wa Zanzibar,juu ya Amani na Utulivu. Na; Ali Msuko, Znz. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,... [Read More]
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akihutubia mkutano wa kampeni a uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakiwa na watafiti wa madini kutoka kampuni ya Majordrilling, katika kijiji cha Kakola wilayani Kahama mkoani Shinyanga
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa katika mapokezi ya wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM za udiwani kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga
Wananchi katika kata ya Bugarama , Kahama mkoani Shinyanga, wakishangilia wakati wa kufunga kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo
Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige (kushoto) akimlaki Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipowasili Kahama mkoani Shinyanga kwa ajili ya kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Bugarama, mkoani humo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kahama, Mabala Mlolwa.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiana kw furaha na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamis Mgeja walipokutana katika Kata ya Kakola, kabla ya kwenda kwenye mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM kata ya Bugarama mkoani humo.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakishiriki kucheza ngoma ya Baswezi, katika kijiji cha Buyange, Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM kata ya Bugarama.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Sinyanga Hamis Mgeja wakishiriki kucheza ngoma ya Baswezi kwenye mkutano wa kampeni za udiwani kata ya Bugarama mkoani humo.
Madiwani wa Kata za Kahama wakiwa na mgombea Udiwani wa CCM, Kata ya Bugarama katika wilaya hiyo Nixon Ikoko wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani katika kata hiyo, uliohutubiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakati akimuombea kura mgombea udiwani wa CCM Kata ya Bugarama, kwenye mkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika mji mdogo wa Bugarama.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Bugarama, Nixon Igogo kwenye mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakiwa na watafiti wa madini kutoka kampuni ya Majordrilling, katika kijiji cha Kakola wilayani Kahama mkoani Shinyanga
Wazee wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipohutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Kina mama wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Kata ya Bugarama
Mzee wa miaka 98, Nickson Toma akifuatilia kwa makini mkutano wa kampeni za udiwani Kata ya Bugarama mkoani Shinyanga uliohutubiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akicharaza ngoma kwenye mkutano wa kampeni za udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga, Hamis Mgeja baada ya mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM Kata ya Bugarama mkoani humo, jana, Oktoba 27, 2012. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
NAPE , MAIGE NA MGEJA KATIKA KUFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI BUGARAMA, WILAYANI KAHAMA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kufunga kampeni za... [Read More]
Meza kuu ikiwa na bango lenye ujumbe mzito kutoka katika nukuu za Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. |
Katibu wa Halmashauri kuu Taifa (NEC) Siasa na Mahusiano ya Kimataifa Mhe. January Makamba akisalimiana na wageni waalikwa kutoka katika jumuiya za vijana vyama mbalimbali kusini na afrika ya kati. |
Makatibu wa halmashauri kuu (NEC) kutoka Kulia Uchumi na Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba, Siasa na Mahusiano ya Kimataifa Mhe. January Makamba na Itikadi na Uenezi Ndugu. Nape Nnauye. |
Vijana wa Chama Cha Mapinduzi ambao pia ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa nane wa Umoja wa Vijana wa CCM. |
Vijana mbalimbali ambao wanawakilisha mikoa wakiwa na mabango ambayo yanaonyesha Mikoa wanayotoka. |
Kaimu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ndugu Benno Malisa akimueleza jambo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Jakaya Kikwete katika Mkutano huo. |
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wanaendelea na Mkutano Mkuu wa Taifa ambapo wanatarajia kuchagua viongozi mbalimbali katika ngazi ya Taifa ya jumuiya hiyo, ambapo jumla ya wagombea 133 wamejitokeza kuwania nafasi hizo ambazo ni nafasi ya Mwnyekiti, Makamo Mwenyekiti, Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) kupitia jumuiya ya vijana, ambapo nafasi (6) zinatoka bara na (4) zinatoka Tanzania Visiwani, nafasi nyingine ni Baraza Kuu Taifa, Viti 5 Bara na 5 Zanzibarm Nafasi ya Uwakilishi WAZAZI Taifa na mwisho ni nafasi ya uwakilishi UWT Taifa.
Mkutano Mkuu huo wa UVCCM umefunguliwa Na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, ulianza Rasmi, saa 4 asubuhi, ambapo Mhe. Rais alifanya ufunguzi kwa Hotuba makini, iliyoeleza mambo makubwa na ya msingi juu ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM).
Mhe. Jakaya Kikwete alisisitiza na kukumbusha juu ya Lengo kuu na Dhumuni Kuu la Chama Cha Mapinduzi lililotajwa katika katiba yake Ibara ya 5 ambayo inaeleza bayana kuwa ni kushinda uchaguzi na kushika dola.
Lakini pia akaeleza kuwa CCM kinategemea jumuiya yake hiyo kufanya kazi ya siasa miongoni mwa vijana wa Tanzania na kushawishi wakubali kuwa wanachama na wapenzi wa CCM. Akasisitiza kuwa matumaini makubwa ya msingi kuliko yote ya Chama Cha Mapinduzi ni kuona jumuiya yake hiyo inakuwa MKOMBOZI wa vijana.
Mhe. Kikwete akawataka wahakikishe kuwa wanapata Viongozi ambaowataongoza vyema, watakaoongoza juhudi za kuendeleza, kutetea na kulinda maslahi ya CCM. Viongozi wanaoijua na kuipenda jumuiya ya Vijana.
MKUTANO WA JUMUIYA YA VIJANA WA CCM, DODOMA LEO.
Meza kuu ikiwa na bango lenye ujumbe mzito kutoka katika nukuu za Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mhe. Jakaya Mrisho ... [Read More]
Shigela akizungumza mjini Dodoma leo |
UCHAGUZI MKUU UVCCM KUANZA KESHO
*Shigela: rushwa kutopenya kwenye uchaguzi wetu *Awakamia watakaotafuta ushindi kwa njia hiyo na kampeni za majitaka Shigela akizungumza mji... [Read More]
Dr.Cyril Chami ,mbunge na mjumbe wa NEC Moshi Vijijini,akiwasalimu wana Kilema Kusini na kuwapasha kuwa wakati wao ndio huu hivyo wahakikishe wanachagua mgombea kutoka Chama Cha Mapinduzi. |
Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akimnadi mgombea wa kiti cha udiwani kupitia CCM,Temu Ernest Peter kata ya Kilema Kusini,Moshi Vijijini tarehe 21/10/2012. |
Aggrey Mareale ,mjumbe wa NEC Moshi mjini akiwaambia wanakilema kusini huu ni wakati muafaka wa kuleta maendeleo kwa kupitia chama chenye siasa bora na kujali kila mtanzania. |
Wanachama na wapenzi wa CCM,Kilema Kusini,Moshi Vijijini wakishangilia kutambulishwa rasmi kwa mgombea wao wa kiti cha udiwani Temu Peter Ernest. |
NAPE,CHAMI, MAREALE WAWASHA MOTO KILEMA KUSINI
Dr.Cyril Chami ,mbunge na mjumbe wa NEC Moshi Vijijini,akiwasalimu wana Kilema Kusini na kuwapasha kuwa wakati wao ndio huu hivyo wahakikish... [Read More]
HOSPITALI YA HURUMA KUBEBA WAGONJWA KWA PIKIPIKI MAALUM
Pikipiki za kubebea wagonjwa zikiwa zimepaki katika hospitali ya Huruma,wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro, pikipiki hizi zitatumika ku... [Read More]
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi mpya za CCM ,wailaya ya Rombo,Mkoani Kilimanjaro (20/10/2012) |
Pichani ni jengo jipya la ofisi za CCM Wilaya ya Rombo,ambalo Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye ameweka jiwe la msingi tarehe 20/10/2012 |
Baadhi ya Madiwani wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kushirikiana kurudisha kiti cha Udiwani mikononi kwa Chama bora cha siasa nchini. |
Wakazi wa kata ya Nanjara Reha wakionyesha furaha baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye alipohutubia wakazi wa eneo hilo kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani. |
NAPE AZINDUA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA NANJARA REHA,ROMBO
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi mpya za CCM ,wailaya ya Rombo,Mkoani Kilimanjaro (... [Read More]
DR CYRIL AUGUST CHAMI AIBUKA KIDEDEA UCHAGUZI WA CCM-NEC MOSHI VIJIJINI
MBUNGE WA MOSHI VIJIJINI DR. CYRIL AUGUST CHAMI AMEIBUKA KIDEDEA KATIKA UCHAGUZU WA MJUMBE WA NEC KUPITIA WILAYA YA MOSHI VIJIJINI. DR. CHAM... [Read More]
RAIS AWAAPISHA MJUMBE (MBM),NAIBU MAWAZIRI NA NAIBU KATIBU WAKUU WA WIZARA MBALIMBALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mhe.Shawana Bukheti Hassan, kuwa Mjumbe wa Baraza ... [Read More]
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
KATA YA MSASANI YAPONGEZANA KUKAMILISHA UCHAGUZI SALAMA
KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akihutubia katika hafla ya wana CCM wa Kata ya Msasani, Dar es Salaam, kupongezana kwa kukamilisha ucha... [Read More]