TUMUENZI MWALIMU KWA VITENDO Posted on by Unknown Chama Cha Mapinduzi,Ofisi ndogo,Lumumba ,Dar es Salaam kimeandaa utaratibu maalumu ambapo tarehe 14 Octoba viongozi mbali mbali na wanachama watasaini kitabu cha kumbukumbu ya Baba wa Taifa.