KATIBU Mkuu wa CCM Wilson Mukama akimkabidhi cheti cha ushiriki katika shughuli mbalimbali za ujenzi wa Chama, Kamanda wa UVCCM Kata ya Msasani, Dk. Suleiman Mohammed, wakati wa sherehe ya kupongezana wana CCM wa Kata ya Msasani, Dar es salaam, kwa kukamilisha uchaguzi katika kata yao, iliyofanyika katika ukumbi wa New Maisha Club, jana. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa kata hiyo, Daudi Othmani. |