Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiweka jiwe la msingi katika jengo la ofisi mpya za CCM ,wailaya ya Rombo,Mkoani Kilimanjaro (20/10/2012) |
Pichani ni jengo jipya la ofisi za CCM Wilaya ya Rombo,ambalo Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye ameweka jiwe la msingi tarehe 20/10/2012 |
Baadhi ya Madiwani wakiwa kwenye picha ya pamoja tayari kushirikiana kurudisha kiti cha Udiwani mikononi kwa Chama bora cha siasa nchini. |
Wakazi wa kata ya Nanjara Reha wakionyesha furaha baada ya kuvutiwa na hotuba ya Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye alipohutubia wakazi wa eneo hilo kwenye uzinduzi wa kampeni za udiwani. |