Wapiga kura waliohudhuria uchaguzi wa mkoa wa Dar es Salaam. |
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meck Sadiq akipiga kura ya Mwenyekiti. |
Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal akimpongeza Mwenyekiti mpya wa mkoa wa Dar es salaam,Ndugu Ramadhani Madabida. |