RAIS AZIMA MWENGE SHINYANGA
Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge waka huu, Kapteni Honest Mwanossa wakati wa sherehe za kuuzima ,zilizofanyika Uwanja wa CCM, Kambarage mjini Shinyanga leo tarehe 14.10.2012. (Picha na John Lukuwi)