MBUNGE WA MOSHI VIJIJINI DR. CYRIL AUGUST CHAMI AMEIBUKA KIDEDEA
KATIKA UCHAGUZU WA MJUMBE WA NEC KUPITIA WILAYA YA MOSHI VIJIJINI.
DR. CHAMI ALIPATA KURA 967 (96%) KATI YA KURA 1008 ZILIZOPIGWA. KATIKA UCHAGUZI
HUO NDUGU GABRIEL MASENGA ALITETEA NAFASI YAKE YA MWENYEKITI WA CCM
WA WILAYA YA MOSHI VIJIJINI