Dr.Cyril Chami ,mbunge na mjumbe wa NEC Moshi Vijijini,akiwasalimu wana Kilema Kusini na kuwapasha kuwa wakati wao ndio huu hivyo wahakikishe wanachagua mgombea kutoka Chama Cha Mapinduzi. |
Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akimnadi mgombea wa kiti cha udiwani kupitia CCM,Temu Ernest Peter kata ya Kilema Kusini,Moshi Vijijini tarehe 21/10/2012. |
Aggrey Mareale ,mjumbe wa NEC Moshi mjini akiwaambia wanakilema kusini huu ni wakati muafaka wa kuleta maendeleo kwa kupitia chama chenye siasa bora na kujali kila mtanzania. |
Wanachama na wapenzi wa CCM,Kilema Kusini,Moshi Vijijini wakishangilia kutambulishwa rasmi kwa mgombea wao wa kiti cha udiwani Temu Peter Ernest. |